Tuesday, March 2, 2010

Heri ya siku ya kuzaliwa Kaka Othman

Kaka Othman Michuzi. Mdau mkuu wa Blog ya Mtaa kwa Mtaa

Kaka wewe watambua tulivyo wamoja.

Waeleza na kuelewesha meengi na wengi twajivunia.

Na ni kwa nafasi hii ninapoungana na familia yangu na familia nzima ya wanachangamoto kukutakia kumbukumbu njema ya siku ya kuzaliwa na kukuombea mafanikio katika kila jema utendalo.


HAPPY BIRTHDATE BROTHER

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Heri sana kwa siku ya kuzaliwa kaka Othman.

Masangu Matondo Nzuzullima (MMN) said...

Nimekuona pia kule kwa Ankal wako. Happy Birthday mkuu!