Saturday, January 15, 2011

Nazisikiliza zaidi......., nitaziandikia.

Hizi ni kati ya albamu zilizoeleza matatizo ambayo mpaka sasa yanatokea katika jamii yetu. Waliimbwa "wanaume kama mabinti", lakini naiona nchi ikiakisi ujumbe. "Machozi, jasho na damu" ndio kama wanaigiza alichoimba.
Kuna wakati naamini hata walioandika nyimbo hizi hawakujua yanayoweza kutokea leo. NI KWA KUWA WALIZUNGUMZIA MATATIZO HALISI YA TANZANIA.
Umeshazisikiliza? Nazisikiliza na ntaziandikia
Tukutane wakati huo

3 comments:

Unknown said...

Lisemwalo lipo kama halipo linakuja na kama haliji basi lilishapita.

emu-three said...

Wanasema wasanii wazuri ni watabiri, na kweli kama alivyosema mkuu Mcharia lisemwalo lipoo kama halipo laja...!

Rachel Siwa said...

Naungana na wenzangu!!kila nyimbo ina maana na mafundisho!