"Better to write for yourself and have no public, than to write for the public and have no self."
Cyril Connolly (1903 - 1974)
Saturday, October 8, 2011
Mahojiano na Upendo Nkone, Upendo Kilahiro na Christina Shusho.
Shukrani za pekee kwa waimbaji hawa ambao waliweza kutoa muda wao wa mapumziko (ambao wangeweza kufanya lolote watakalo) kuweza kuzungumza machache kuhusu HUDUMA wanayoitoa. Wameeleza historia zao kwa ufupi, kufafanua kile wafanyacho (kama ni huduma, kazi, usanii, hobby ama ni vipi?), hujuma zinazofanywa katika soko na biashara ya muziki nchini, namna wanavyotunga nyimbo zao, tofauti ya INJILI ya Tanzania na nchi walizotembelea pamoja kile / vile walivyojifunza katika ziara yao ya hapa Marekani ambacho wanaamini hawatakisahau. KARIBU
Thanks and Praises ni kipengele kinachozungumzia masuala ya imani na kurejesha SIFA NA SHUKRANI KWA Muumba. Kwa matoleo zaidi ya kipengele hiki, BOFYA HAPA Photo Credits: Vijimambo
Heshima kwako Kaka Goodman. Pole kwa hilo. Niligundua makosa kiasi nikaamua kuivuta kando kurekebisha. Sasa ipo na naamini utaweza kuipata vema Baraka kwako na KARIBU
Kazi nzuri sana bro! Ukiwa unahitaji kupata link mbalimbali za kitanzania tembelea www.tanzaniakwetu.com kila aina za link zipo, za dini na nyinginezo! Karibu!
Nashukuru kupata ujumbe wa marekebisho, Mkuu; nitarudia kuwasikiliza wanadada wale. Kwani muziki wao nimeugundua miaka miwili iliepita nikiwa natembelea Tanzania kutoka Afrika Kusini. Nilibarikiwa na kuburdudishwa sana na sauti zao!
Great I watched it on YouTube and these are wonderful women.God's creation which is magnificent in a particular sophisticated unique way...we are of no match with God's beautiful Angel and they are our beloved blessing...be blessed too.Love you...Shusho ,Upendo,+the other Upendo love you...love you
.Today we have bigger houses and smaller families; more convenience but less time. .We have more Degrees but less common sense; more knowledge but less judgment. .We have more experts but more problems; more medicine but less wellness. .We spend too recklessly, laugh too little, drive too fast, get too angry too quickly, stay up too late, read too little, watch Tv too much and Pray too seldom. .We multiply our Possessions but reduce our values; we talk too much, love too little and lie too often. .We’ve learned how to make living, but not a life; we’ve added years to life not life to years. .We have taller buildings, but shorter tempers; wider freeways but narrower viewpoint. .We spend more, but have less; we buy more, enjoy less. .We’ve been all the way to the moon and back, but have trouble crossing the street to meet our neighbor. .We’ve conquer outer space, but not inner space. .We split the atoms, but not our prejudice .We write more, learn less; plan more but accomplish less; we’ve learned to rush but not to wait; we have higher income but lower morals. .We build more computers to hold more info, to produce more copies but have less communications. .We’re long on quantity but short on Quality. .These are the time for Fast food and slow digestion; tall men and short characters. .More leisure but less fun; more kinds of food but less nutrition; two income but many divorces, fancier houses but broken homes.
10 comments:
Video imegoma, nini, Mkuu? Mbona mie hapa sipati? Au niko bondeni mno?
Heshima kwako Kaka Goodman.
Pole kwa hilo. Niligundua makosa kiasi nikaamua kuivuta kando kurekebisha. Sasa ipo na naamini utaweza kuipata vema
Baraka kwako na KARIBU
Umefanya kazi nzuri...ahsante sana
Hongera kaka, Kazi nzuri na yakuvutia, Ubarikiwe na Ahsante.
Kazi nzuri sana bro!
Ukiwa unahitaji kupata link mbalimbali za kitanzania tembelea www.tanzaniakwetu.com
kila aina za link zipo, za dini na nyinginezo!
Karibu!
Kazi mwanana!
Safi sana. Ni waimbaji wenye vipaji sana. Mungu Aendelee kuwabariki!
Nashukuru kupata ujumbe wa marekebisho, Mkuu; nitarudia kuwasikiliza wanadada wale. Kwani muziki wao nimeugundua miaka miwili iliepita nikiwa natembelea Tanzania kutoka Afrika Kusini. Nilibarikiwa na kuburdudishwa sana na sauti zao!
Kazi nzuri sana..
Great I watched it on YouTube and these are wonderful women.God's creation which is magnificent in a particular sophisticated unique way...we are of no match with God's beautiful Angel and they are our beloved blessing...be blessed too.Love you...Shusho ,Upendo,+the other Upendo love you...love you
Post a Comment