Monday, March 12, 2012

Dr Hamza Mwamoyo katika "Ana kwa Ana ya Vijimambo Blog"

Hivi karibuni, blogger mwenzetu Luke Joe wa VIJIMAMBO alifanya mahojiano na Dr. Hamza Mwamoyo katika utaratibu wake mpya wa kutambulisha wadau mbalimbali waTanzania wanaofanya shughuli mbalimbali hapa Marekani.
Hapa anaeleza mambo mbalimbali kuanzia historia ya maisha yake kwa ufupi alikotoka mpaka hapa alipo, shughuli alizowahi kufanya, ushabiki wake katika soka na taratibu za kufuata kwa wale wanaotaka kujiunga na Idhaa ya Kiswahili ya Sauti ya Amerika (VOA).
Karibu uungane naye

1 comment:

emuthree said...

Mkuu safi sana maana unatutambulisha majirani wa blogs, fanya na huku pia,hata kwa kiona mbali!