Thursday, March 29, 2012

Inapotafutwa maana mpya ya kifo kukidhi mahitaji ya afya (II)

OKTOBA 6 2008 niliandika makala hii hapa kuhusu TAFSIRI YA KIFO KUOKOA MAISHA YA WENGINE.
Na katika makala hiyo, sehemu yake ilisema

"Madaktari wanatafuta maana mpya ya kifo ama hali ya mtu kutambulika kuwa amekufa itakayowawezesha kusaidia kuokoa maisha mengi kutokana na kutumia baadhi ya viungo muhimu vya "marehemu" hao kabla "havijafa" na kuvipandikiza kwa wagonjwa wenye uhitaji. Jarida la mambo ya afya la New England Journal of Medicine limeeleza namna ambavyo madaktari waliweza kuhamisha moyo wa mtoto ndani ya sekunde 75 tangu athibitishwe kufa kwa maradhi ya moyo.
Je! Kuna uvunjaji wowote wa misingi ya kibinadamu katika hili? Yawezekana kuna ukweli lakini (na hapa naomba kunukuu ili kuweka ujumbe halisi) "......in medicine, lines move. "Dead" means irreversibly stopped, and stoppages are increasingly reversible. And when life support ends, says one bioethicist, "not using viable organs wastes precious life-saving resources" and "costs the lives of other babies." Failure to take body parts looks like lethal negligence". Whaooooooooooooooooooooo!!!!!
Bado hawajamaliza, swali jingine ni vipi tunaweza kupata viungo muhimu vya mwilini punde baada ya mgonjwa kufariki ili kuweza kuokoa maisha ya wengine wengi? (na kwa mara nyingine naomba nisipoteze maana kwa kutafsiri) wao (wataalamu wa kupandikiza viungo) wanasema "..... By redefining death. First we coined "brain death," which let us take organs from people on ventilators. Then we proposed organ retrieval even if non-conscious brain functions persisted. Now we have "donation after cardiac death," the rule applied in Denver, which permits harvesting based on heart, rather than brain, stoppage.
But stoppage is complicated. There's no "moment" of death. Some transplant surgeons wait five minutes after the last heartbeat; others wait two. The Denver team waited 75 seconds, reasoning that no heart is known to have self-restarted after 60 seconds. Why push the envelope? Because every second counts. Mark Boucek, the doctor who led the Denver team, says that waiting even 75 seconds makes organs less useful."" Ifuate makala yote HAPA

Lakini jana tu nimesikia kuhusu HARAKATI MPYA ZA KUTAFSIRI KIFO kwa wale wanaotaka kujitolea viungo vya mwili. Katika MAKALA HAYO ndani ya KIPINDI CHA MORNING EDITION kinachozalishwa na NATIONAL PUBLIC RADIO (NPR), sehemu ya maelezo ya makala hayo yanasema "....... defining "dead" turns out to be pretty complicated. It turns out, there are two ways to declare someone dead. For decades, the main way has been "brain death."

Brain death is defined an "irreversible cessation of all the functions of the brain, including the brain stem," according to James L. Bernat, a Dartmouth Medical School neurologist who is an expert on the science and ethics of organ procurement.

These are often people who have suffered massive strokes or devastating blows to the head.

But transplant advocates have revived another definition in recent years. It's had several names, including "donation after cardiac death (DCD)" and "donation after circulatory death." It says: It's OK if donors initially may still have some brain activity. But in this case, death requires "an irreversible cessation of circulation and heartbeat and breathing and no intervention will be done to restore it," Bernat said. "So it is permanent."

In these cases, no one will perform CPR or anything else to restore circulation on the patient. A typical case might involve someone who has had a massive heart attack. Doctors and families agree there's no hope and decide it's time to discontinue life support."
SIKILIZA MWENYEWE MAKALA NZIMA HAPA AMA CHINI UONE NAMNA AMBAVYO TAFSIRI MPYA YA KIFO INAVYOWEZA KUOKOA MAISHA YA WENGINE.
Unaikubali? Unaipinga? KWANINI?

1 comment:

emuthree said...

Hivi mimi nawaza tu; kufa ina ziaidi ya alivyopanga God, ....maana mtu keshakufa, lakini lazima itafutwe sababu...nawaza tu maana ukiwa `muumini' unaweza ukawa kinyume na `wanasayansi...'