Thursday, July 5, 2012

Ana kwa ana ya Waziri Mhe. Bernard Membe na bloggers DC II

Sehemu ya pili na ya mwisho ya mahojiano kati ya bloggers wa Washington DC na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Bernard Membe (MB)
Katika sehemu hii, amezungumzia
1: Ushiriki wa wanaDiaspora katika maoni ya katiba mpya.
2: Kauli yake kuhusu CHADEMA kushinda 2015
3: Missions za Wizara ya Mambo ya Nje kwa sasa
4: Msimamo wa Tanzania kuhusu Somalia na hatua dhidi ya maharamia
5: Msimamo wake kuhusu Zanzibar, maoni yake kuhusu muundo wa muungano
na
6: Lini atatangaza nia yake ya kugombea Urais 2015?
Ungana na Sunday Shomari aliyeketi naye kwa niaba ya bloggers

1 comment:

emuthree said...

Ndio mkuu pole na majukumu, lakini pia ushukuru kwa kuwa hivyo, maana wapo wanatafuta kuwa hivyo, lakini hawana nafasi hiyo.
Kuna msemo usemeo mtu husema hakitoshi kwasababu anacho, kama angekuwa hana angesemaje?
KWAHIYO MKUU NAKUPA POLE NA MVUMILIVU HULA MBIVU, NAMCHUMIA JUANI HULIA WAPI?