Tuesday, August 21, 2012

Je Waafrika tujifunze nini Kutoka Olympic 2012

Tukio la mwisho la Olimpiki 2012 lililokuwa na washindi toka Afrika Mashariki ni mbio za Marathon, mitaani London . Ingawa mshindi hakutoka Bongo- wakimbiaji wetu watatu walishiriki kwa dhati bila mafanikio. Kabla ya kurudi nyumbani wanamichezo walialikwa na Ubalozi wetu Uingereza. Je, ilikuwaje? Nini kilizungumziwa? Na je , nini funzo au somo la mashindano haya kwetu sote? Tafakari, chukua hatua na kuwa sehemu ya suluhisho ili kuleta mapunduzi katika tasnia ya Michezo Tanzania. Asanteni, Urban Pulse Creative wakishirikina na Freddy Macha

1 comment:

emuthree said...

Ni kweli kutafakari baada ya tukio, lkini je tutatafakari hili hadi lini!