Sunday, October 14, 2012

Maendeleo ya msiba DMV

Mzee Tekle Tamanu 
Mnataarifiwa Harambee ya kusaidia kuwezesha mazishi ya Baba yake Sarah, Marehemu Mzee Tekle Tamamu aliyefariki jana asubuhi katika Hosipitali ya Adventist iliyopo Takoma Park Maryland, nchini Marekani.
Harambee ni leo Jumapili October 14, 2012 kuanzia saa 8:30 alasiri mpaka saa 11 jioni (2:30 pm-5pm). Tafadhali zingatia muda kwani Harambee imelipiwa kwa masaa hayo tu

Harambee hii itafanyika
The Way of the Cross Gospel Ministries 
(at University United Methodist Church) 
3621 Campus Drive 
College Park, MD 20740

Tafadhali njoo cha chochote unachofikiri kitasaidia kwa ajili ya mnada. Na pia, ukipata taarifa hii mtaarifu mwenzio
Kufika kwako kwa kuzingatia muda ndio mafanikio ya Harambee hii
Siku ya maziko ya mpendwa wetu bado kujulikana lakini mtataarifiwa na vyombo vyetu vya habari punde itakapojulikana.

Kwa malezo zaidi na maelekezo piga simu
Mama Sarah 240 481 1207 
Irene Milmbe 571 501 0122 
Kichai 202 361 0571 
Joseph Mzanila 240 388 7845

 BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE

No comments: