Marehemu Mzee Tekle Tamanu
Ndugu yetu Sarah Berhane wa hapa DMV amefiwa na Baba yake mzazi Mzee Tekle Tamanu.Msiba huu umetokea Ijumaa saa moja asubuhi katika Hospitali ya Adventist iliyopo Takoma Park, Maryland, nchini Marekani.
Kama ilivyo desturi yetu, tupatapo nafasi tuwasiliane na wafiwa kwa simu na / au kufika nyumbani kwa wafiwa kuwapa mkono wa pole na rambirambi zako.
Ni muhimu kuungana nao ili kuwafariji katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Habari zaidi kuhusu kuhusu maendeleo ya msiba na zaidi juu ya siku na mahala yatakapofanyika mazishi zitawajia punde tutakapozipata.
Msiba upo
6700 Conway Ave,
Takoma Park, MD 20912
Kwa malezo zaidi na maelekezo piga simu
Mama Sarah 240 481 1207
Irene Milmbe 571 501 0122
Kichai 202 361 0571
Joseph Mzanila 240 388 7845
BWANA AMETOA, BWANA AMETWAA NA JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment