Monday, October 14, 2013

Kijiwe cha Ughaibuni......Mwalimu J. K Nyerere

Karibu katika kipindi kingine cha Kijiwe cha Ughaibuni kinacholetwa kwenu na Blog ya Vijimambo.
Katika kipindi hiki kinachojadili mambo mbalimbali yanayotokea kwenye jamii yetu, leo wana-kijiwe wanamuenzi Hayati Baba wa Taifa Hayati julius Kambarage Nyerere
Unadhani Baba wa Taifa anaenziwaje "kijiweni"?
Karibu uungane nao

No comments: