Monday, October 14, 2013

Sherehe za Eid Al-Adha Washington DC

Jumuiya ya Kiislamu Tanzanian (Tanzania Muslim Community) Washington DC inawatagazia waTanzania wote kuwa sherehe za Eid Al-Adha zitafanyika siku ya Jumanne Oct 15,
 Anuani |
Veirs Maill Local Park
 4425 Garrett Park, 
Wheaton MD 20906
Muda ni kuazia saa tisa alasiri hadi saa tatu usiku (3pm - 9pm)
Nyote mnakaribishwa.
Asanteni

Photo: EID MUBARAK 

Tangazo la  Eid Al-Adha na Jumuiya ya Kiislamu Tanzanian Muslim Community Washington DC | Inawatagazia waTanzania wote sherehe za  Eid al-adha itakayofanyika siku ya Jumanne Oct 15, 
Anuani | Veirs Maill Local Park 4425 
Garrett Park, Wheaton MD 20906 
kuazia Saa 3:PM mchana hadi 9:PM
waTanzania wote mnakarebishwa.
Asanteni

No comments: