JUMUIYA YA WATANZANIA – WASHINGTON DC, MARYLAND NA
VIRGINIA.
MKUTANO
MKUU WA JUMUIYA YA WATANZANIA DMV
JUMAMOSI, OCTOBER 12, 2013
SAA 3:00PM -8:00PM
WATANZANIA WOTE WAISHIO MAENEO YA DMV MNAALIKWA
MKUTANO HUU UNATUHUSU SOTE KAMA WATANZANIA. TAFADHALI
NJOO TUJADILI MAMBO MUHIMU YANAYOIHUSU JUMUIYA YETU,
NCHI YETU, WANAJUMUIYA WETU NA MAMBO AMBAYO YANAYOTUHUSU, KAMA
WATANZANIA.
UKIPATA UJUMBE HUU TAFADHALI MWELEZE NA MWENZAKO.
KUFIKA KWAKO NDIYO MAFANIKIO YA JUMUIYA YETU
MUNGU IBARIKI JUMUIYA YETU NA IBARIKI TANZANIA
AMOS M. CHEREHANI
KATIBU WA JUMUIYA
No comments:
Post a Comment