Sunday, December 15, 2013

[AUDIO] DAKIKA 90 ZA DUNIA: Kufariki kwa Nelson Mandela

Wiki hii, moja ya habari kuu (kama sio habari kuu duniani) ni juu ya kifo cha Rais wa kwanza mweusi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela.
Turudi nyuma kidogo kukumbuka safari ya uhuru ya Mandela.

Hii ni sehemu ya ripoti ya Jamii Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM).

Bahati Alex (L) Capital Radio Jijini Dar es Salaam na Mubelwa Bandio (R) wa Jamii Production Washington DC
Hii ilikuwa ripoti ya Desemba 7, 2013


No comments: