Thursday, March 14, 2013

MJADALA: Kushuka kwa elimu Tanzania

Sehemu ya kwanza mpaka ya tatu ya WanaDMV waliofanya mjadala kujadili tatizo la kushuka kwa kiwango cha Elimu na matokeo mabaya ya kidato cha Nne kwa mwaka 2012 Wameeleza na kujadili mengi katika kutafuta sababu zinazoweza kuwa zimetufikisha hapa tulipo na namna tunavyoweza kuepuka ama kuondokana na hali hii. Pia, kuna baadhi ya historia kuhusu elimu toka kwa walimu wastaafu walioshiriki mjadala huu. KARIBU

1 comment:

Mbele said...

Ni mjadala mzuri kabisa. Kwa mtazamo wangu, wamegusia na kufafanua vipengele vyote muhimu, bila kumpendelea yeyote. Shukrani, Mzee wa Changamoto, kwa hii kazi nzuri.