Thursday, March 14, 2013
MJADALA: Kushuka kwa elimu Tanzania
Sehemu ya kwanza mpaka ya tatu ya WanaDMV waliofanya mjadala kujadili tatizo la kushuka kwa kiwango cha Elimu na matokeo mabaya ya kidato cha Nne kwa mwaka 2012
Wameeleza na kujadili mengi katika kutafuta sababu zinazoweza kuwa zimetufikisha hapa tulipo na namna tunavyoweza kuepuka ama kuondokana na hali hii.
Pia, kuna baadhi ya historia kuhusu elimu toka kwa walimu wastaafu walioshiriki mjadala huu.
KARIBU
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Ni mjadala mzuri kabisa. Kwa mtazamo wangu, wamegusia na kufafanua vipengele vyote muhimu, bila kumpendelea yeyote. Shukrani, Mzee wa Changamoto, kwa hii kazi nzuri.
Post a Comment